.......vuta picha, huyo OCD kaenda chini kufuatia huo 'mtama' halafu akapata dislocation ya joint yoyote mathalan knee joint au hip joint na kukimbizwa hospital, ingekuwa vipi? au Shibuda kamlamba mtama mtama huyo OCD ofisi kwa OCD, RPC angesema ni jambo la kawaida OCD kudundwa ofisini? Oooohhh, Tanzania yangu..maskini Tanzania yangu...CCM kwanza mengine baadae. Yaani OCD kudundwa ofisini kwake ni jambo la kawaida? Sometime tuwe serious kwa mambo serious...hivi RPC anaongezewa miaka miwili???? you dudes, are you serious? mbona wapo Polisi elite na waadilifu na vijana wanaoweza kuchukua nafasi kama hizo..