johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ndugu Mfaume Zuberi amesema Katika Uongozi wake atasisitiza Wananchi kuzishika Amri 10 za Mungu tena Wapigie mistari Amri ya 4 hadi 8
Zuberi amesema Uovu Wote tunashuhudia ni Kwa sababu Jamii imekosa KIASI, imemwacha Mungu na Imesahau kuwa Duniani tunapita tu utaacha ghorofa Kigamboni na kulala milele kwenye kaburi la mita 1x2
Zuberi alikuwa akihutubia mkutano wa Kampeni za CCM huko Bunju mkoani DSM
Nimeogopa sana 🐼
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹