Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa imebaki siku moja kufanyika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa mgombea wake katika nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa wa Buswelu ‘A’ wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Pastory Apolinary ametekwa.
Madai ya kutekwa kwa mgombea huyo yametolewa leo Jumanne Novemba 26, 2024, na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kanda zilizopo Nyegezi jijini Mwanza.
Wenje amedai ofisi yake ilipokea taarifa ya mgombea huyo kutekwa jana Novemba 25, 2024, saa saba mchana baada ya kukamilisha maandalizi ya eneo ulipotakiwa kufanyika mkutano wake wa hadhara.
Hata hivyo, akizungumza kwa simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema anaanza kufuatilia madai hayo ya kutekwa ili kubaini ukweli.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz
Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara. Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa. Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, CHADEMA Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, CHADEMA Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria, Ezekia Wenje amesema mgombea huyo wa kata ya Buswelu A anayefahamika kwa jina la Pastory Apolinary, jana majira ya saa saba alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdau wa chama hicho na anataka kuwapa mchango wa kuendesha kampeni na alipoenda hakurudi tena na simu zake hazipatikani mpaka sasa.
Wenje amesema kufuatia tukio hilo chama hicho tayari kimeshatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kufahamu waliohusika katika utekaji huo.
tamaa ni kitu mbaya sana aise,
chadema inafaa ichunguzwe ndrugu zangu,
ili wadau wa chadema waweze kujulikana na hiyo michango ya kupeana saa7 za mchana kweupe ilitoka kwa nan?