Elections 2010 Mgombea CHADEMA aliejitoa kugombea ubunge nkenge,ataganza bado ni mgombea

Elections 2010 Mgombea CHADEMA aliejitoa kugombea ubunge nkenge,ataganza bado ni mgombea

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Juzi tulitagaza kupitia jukwaa hili juu ya bw focus rwegasira wa jimbola nkenge kujitoa katika kugombea ubunge

hivi sasa anahutubia wananchi bukoba mjini eneo la soku kuu anadai kuwa yeye bado ni mgombea

update zaidi endelea kuwa on jamii forums
 
Nilijua hapa pumba na mchele zote zinapatikana!
 
Yeye ni mgombea wa nkenge anahutubiaje sokoni bkb mjini jimbo lisilo lake?
 
Yeye ni mgombea wa nkenge anahutubiaje sokoni bkb mjini jimbo lisilo lake?

Huu ni mkutano wa Lwakatare na madiwani Bukoba mjini,amekaribishwa tu

ndiyo maana ameongea mwanzo,mkutano unaendelea,wafanyabishara wanasikiliza sera za Chadema ili wampime Lwakatare na Kagaseki wa CCM Pamona na Kasimbazi wa CUF
 
then mtoa mada anakurupuka kwani kaleta zote na anatuchanganya... combine these threads and close
 
habari ilishaletwa na mchukia fisadi kuwa kaamua kurudi kutetea jimbo (@_@)
 
then mtoa mada anakurupuka kwani kaleta zote na anatuchanganya... combine these threads and close

Bwana sikiliza.
hapa kilichofanyika ni uongozi wa CHADEMA kukaa na focus na kuongea naye juu ya uamuzi wake huo

kimefanyika kikao cha kumuomba abatilishe umamuzi wake,kwani alishapeleka barua kwa mkurguenzi miseenyi kuomba kujitoa huo ndiyo ukweli ,HATUPIGI RANGI UKUTA SISDI,

Na kwa taarifa yako post ya jana imesaidia pakubwa kurekekisha mambo baina yaske na uongozi CHADEMA

Ukitaka mambo yawe wazi tuweke humu barua aliyopeleka kwa mkurugenzi baada ya kuapa mahakani

watu tuko makini,hapa hakuna siasa na wengine siyo wanasiasa
 
[QUOTEQUOTE]JOKA
Nasema ili mambo yawe hadharani, na kwa kuwa wewe si mwanasiasa, naomba uweke mambo hadharani kila kitu kiwe cha uhakika. wasome waelewe kati ya pumba na mchele
tuache longolongo
 
Bwana sikiliza.
hapa kilichofanyika ni uongozi wa CHADEMA kukaa na focus na kuongea naye juu ya uamuzi wake huo

kimefanyika kikao cha kumuomba abatilishe umamuzi wake,kwani alishapeleka barua kwa mkurguenzi miseenyi kuomba kujitoa huo ndiyo ukweli ,HATUPIGI RANGI UKUTA SISDI,

Na kwa taarifa yako post ya jana imesaidia pakubwa kurekekisha mambo baina yaske na uongozi CHADEMA

Ukitaka mambo yawe wazi tuweke humu barua aliyopeleka kwa mkurugenzi baada ya kuapa mahakani

watu tuko makini,hapa hakuna siasa na wengine siyo wanasiasa

Rutunga Ili kukomesha Ubishi Weka hizo nyaraka hapa janvini
 
mimi nawashangaa wagombea wa chadema wanakurupuka hawana dira wala muelekeo mara amejitoa mara anatangaza kurudi huku kweli si kukosa dira????

Chagua CCM mpe kura za ndio DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 0KTOBA 2010
 
mimi nawashangaa wagombea wa chadema wanakurupuka hawana dira wala muelekeo mara amejitoa mara anatangaza kurudi huku kweli si kukosa dir????

Chagua CCM mpe kura za ndio DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 0KTOBA 2010

Tanzania bila wehu inawezekana ! Hatumtaki mlea mafisadi huyo
 
dada kuona nakuunga mkono sana kwani tunawasema mafisadi wakati hao hao ndo mataikuni wa ufissadi kinachosumbua kwa vile
hawana nafasi ya kutuibia. wakiipata watatumaliza kabisa.

CCM NDO BABA NDO MAMA ICHAGUE IFANYE KAZI KWANI WALOBAKI WANASINDIKIZA TU. MUNGU IBARIKI TANZANIA WABARIKI
WATANZANIA WOTE.
 
Habari hii haijakaa vizuri, inawezekana taarifa ya awali ya kujitoa ikawa ndio sahihi. Gazeti la Daily News la leo limeripoti kuwa amejitoa, kwani kama aliandika barua ya kujitoa kwenye sheria ya uchaguzi kuna kipengele cha kufuta barua ya kujitoa?
 
Back
Top Bottom