Bwana sikiliza.
hapa kilichofanyika ni uongozi wa CHADEMA kukaa na focus na kuongea naye juu ya uamuzi wake huo
kimefanyika kikao cha kumuomba abatilishe umamuzi wake,kwani alishapeleka barua kwa mkurguenzi miseenyi kuomba kujitoa huo ndiyo ukweli ,HATUPIGI RANGI UKUTA SISDI,
Na kwa taarifa yako post ya jana imesaidia pakubwa kurekekisha mambo baina yaske na uongozi CHADEMA
Ukitaka mambo yawe wazi tuweke humu barua aliyopeleka kwa mkurugenzi baada ya kuapa mahakani
watu tuko makini,hapa hakuna siasa na wengine siyo wanasiasa