LGE2024 Mgombea CHADEMA Makete: Badilisheni ladha tumbo litauma ukila maharage kila siku. Chagueni CHADEMA muishi kwa starehe

LGE2024 Mgombea CHADEMA Makete: Badilisheni ladha tumbo litauma ukila maharage kila siku. Chagueni CHADEMA muishi kwa starehe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo yanazidi kunoga, kila kona ni mwendo wa kutamba na kuponda. Mnaenda kusikiliza sera za wagombea kwenye mitaa yenu?

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

====

Mgombea Uenyekiti wa Kijiji cha Matamba wilayani Makete mkoani Njombe kwa tiketi ya CHADEMA Ibrahim Ngogo amewasihi wananchi wachague wagombea wa chama hicho ili waishi kwa raha, lakini pia kula mboga moja kila siku inachosha, tumbo litauma, wabadilishe ladha wafaidi.


 
Back
Top Bottom