Elections 2010 Mgombea CUF Bukoba mjini naye akimbia mdahalo wa TBC

Elections 2010 Mgombea CUF Bukoba mjini naye akimbia mdahalo wa TBC

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini,Bw Kasimbazi amegoma kushiriki katika mdahalo wa TBC baina yake na Wilfred Lwakatare uliokuwa ufanyike jana jumapili mjini Bukoba.Wafanyakazi wa TBC wakiwemo mafundi walikuwa wametua mjini Bukoba lakini mgombea huyo wa CUF akagoma kwa madai kuwa haoni faida itakayopatikana.hata hivyo wadadisi wa mambo wanasema kuwa hiyo ni mipango ya mgombea wa CCM Balozi Kagasheki ambaye chama chake kilikwisha wazuia.inadaiwa kuwa kagasheki alihofia uwepo wa mdahalo huo kwani umegemsaidia lwakatare kujiimarisha kisiasa zaidi.Chanzo cha Habari hizi niredio k
 
Basi kipindi kizima angeongea Rwakatare na kujuza watu sera za chadema na atakachowafanyia wana Bukoba!
 
Nilishawahi kusema humu kwamba CCM na CUF sasa ni dugu moja! Ndoa iliyofanyika chumbani sasa inajionyesha sebuleni!!
 
basi hicho kipindi hakina tena muda watakifuta
 
Back
Top Bottom