Elections 2010 Mgombea gani wa Urais akishinda atakuwa omba omba wa kimataifa?

Elections 2010 Mgombea gani wa Urais akishinda atakuwa omba omba wa kimataifa?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Angalia 'data' zilizo kwenye jedwali na 'graph' kwenye 'sheet number two of the attached Excel file labelled "sources of funds" halafu tuambie ni yupi akishinda atalipeleka taifa letu kwa muda wa miaka 5 ijayo kwenye mitaa ya omba omba ya kimataifa?


8e9u9992.jpg


Source: Google images
 
No comments,ana onekana kila kitu anacho ahidi ni kwa msaada wa watu wa marekani
 
Back
Top Bottom