Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea Ubunge jimbo la Nachingwea kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Fadhili
ametuma ujumbe kwa Samia Suluhu Hassan mgombea Urais CCM kumuonyesha jinsi Wananchi wa Kata ya Namapwia wanavyomkubali na wapo tayari kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi October.
Una maoni gani?
Ilo ni kweli katika sehemu hawaipendi ccm ni hiyo kata ya namapwia huko hawalimi kwa utulivu tembo wa kumwaga na barabara mbovu za hatari hapo ni maigizo tu