Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho.
Msingi wa Salehe kusema hayo ni alipoulizwa swali na mjumbe kuhusu umri wake kuwa mkubwa na kama ataweza kuongoza katika nafasi hiyo nyeti.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Salehe ameyasema hayo wakati akinadi sera zake katika uchaguzi wa Chadema unaoendelea leo Jumanne Januari 21, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.