Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza Salum Mwalimu aendelea na kampeni Nachingwea

Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza Salum Mwalimu aendelea na kampeni Nachingwea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6

Moto ya Mwambium inazimwanga na manji, maana mionzi ya ngama rays ni vigumu zaidi kupita kwa manji kuliko kwa Lead!
................................ CHIEF CHEMIST!
[emoji28]
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
 
ombi kwa Moderator video tunazoweka zinashindwa kufunguka kwa baadhi ya watu tusaidie kama mfumo mpya una matatizo
Imebidi niende YouTube direct kuweza kuona ya Nachingwea, ... naona Malaika wa mitandao kaanza kitua Jamii forums! 😅😅😅
... yaani sasa hata kuandika 'BILLBOARDS' zangu nimeishazuiwa!
... Anyway ...TOO LATE!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Hawa jamaa hawatashinda lakini walau wametupa hali halisi ya kilichoko mtaani kwenye mioyo ya watu na si mapambio ya kwenye media
 
Bila Video JF itapoteza ubora wake.

Lazima JF iwe multimedia.

Kudisable functionality ya video siyo sawa!

It seems kuna hujuma ndani ya JF siyo bure!
Sidhani kama ni hujuma ila nadhani maboresho ya jana yameleta shida
 
Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6

View attachment 1593116
Nacheka kusema JF iko hacked siyo Bure. Wana disable video za Chadema.
 
Nahisi Bwana Mkubwa hakupenda jinsi video za Lissu baada ya kukamatwa na polisi jana zilivyosambaa kama moto wa kifuu.
Nahisi hawa Mods walilimwa simu ya "Maudhui" 😁😁😁
Si walituaminisha kuwa JF ni huru? Imeshafika bei.
 
Back
Top Bottom