Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Imebidi niende YouTube direct kuweza kuona ya Nachingwea, ... naona Malaika wa mitandao kaanza kitua Jamii forums! π π πombi kwa Moderator video tunazoweka zinashindwa kufunguka kwa baadhi ya watu tusaidie kama mfumo mpya una matatizo
Sidhani kama ni hujuma ila nadhani maboresho ya jana yameleta shidaBila Video JF itapoteza ubora wake.
Lazima JF iwe multimedia.
Kudisable functionality ya video siyo sawa!
It seems kuna hujuma ndani ya JF siyo bure!
Hilo neno " hawatashinda " umelitoa wapi ?Hawa jamaa hawatashinda lakini walau wametupa hali halisi ya kilichoko mtaani kwenye mioyo ya watu na si mapambio ya kwenye media
Mambo ni Chadema π₯π₯π₯π₯Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6
View attachment 1593116
Yuko kwenye denial phaseHilo neno " hawatashinda " umelitoa wapi ?
Bilashaka watalifanyia kazi.Ombi kwa Moderator video tunazoweka zinashindwa kufunguka kwa baadhi ya watu tusaidie kama mfumo mpya una matatizo
Jana kulikuwa na maboresho ya mfumo. nadhani there may be some errorsBila Video JF itapoteza ubora wake.
Lazima JF iwe multimedia.
Kudisable functionality ya video siyo sawa!
It seems kuna hujuma ndani ya JF siyo bure!
Toka lini?Kabisa mimi hazijawahi kufunguka hata siku moja kwa mfumo huu.
Ni zaidi ya wiki mbili sasaToka lini?
Nacheka kusema JF iko hacked siyo Bure. Wana disable video za Chadema.Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6
View attachment 1593116
Nahisi Bwana Mkubwa hakupenda jinsi video za Lissu baada ya kukamatwa na polisi jana zilivyosambaa kama moto wa kifuu.Nacheka kusema JF iko hacked siyo Bure. Wana disable video za Chadema.
Duuh pole.Ni zaidi ya wiki mbili sasa
Si walituaminisha kuwa JF ni huru? Imeshafika bei.Nahisi Bwana Mkubwa hakupenda jinsi video za Lissu baada ya kukamatwa na polisi jana zilivyosambaa kama moto wa kifuu.
Nahisi hawa Mods walilimwa simu ya "Maudhui" πππ