Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Aug 31, 2010 #1 Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata mmoja tena.
Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata mmoja tena.
Zungu la Unga Member Joined Nov 26, 2008 Posts 40 Reaction score 0 Sep 1, 2010 #2 Na sisi tunakuamini wewe Pilato kwa kila kitu unachokisema.