Zanzibar 2020 Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar ni mwanajeshi ambaye alikwenda kupigana vita Uganda yeye ni mwana CCM tokea 1978 alianzia Migombani wakati akiwa jeshini na anaona anahitaji kuleta maendeo Zanzibar .
 
CCM inatarajia kuwapitisha wagombea wake wa urais wa visiwani Zanzibar pamoja na Tanzania Bara mapema mwezi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…