Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Jun 21, 2020 #1 Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed aliyekuwa waziri wa fedha Zanzibar Leo wamejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui kuchukia fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar
Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed aliyekuwa waziri wa fedha Zanzibar Leo wamejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui kuchukia fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,483 Jun 22, 2020 #2 Zanzibar Kumekucha.. Hakika wameonesha demokrasia. Ni zamu ya Zanzibar