Uchaguzi 2020 Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa

Uchaguzi 2020 Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa

Joined
Oct 7, 2015
Posts
86
Reaction score
108
[emoji625]MTAA KWA MTAA NA MKUMBO.[emoji625]

Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo Prof. KITILA MKUMBO akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa kata ya Mabibo na Manzese.

Akisikiliza kero na kutumwa ya kusimamia wana Ubungo baada ya kumpa ridhaa kwa KUMCHAGUA [emoji736] tarehe 28 Oct.

#UbungoYaKijani
#ChaguaKitilaMkumbo
#ChaguaMagufuli
#ChaguaCCM

IMG-20201016-WA0029.jpg
 
Hao wanaomwamini kitila ni kwamba hawamjui ila jamaa ni mnafiki na hatachelewa kuwaacha wananchi pindi akipata ulaji.

Ndio maana CCM mkoa wa Singida walimkataa asigombee Iramba Magharibi maana ingekuwa njia nyeupe kwa Jesca
 
Kitila ananunulika. Kitila anafika bei. Kama aliweza kusaliti chama alichokianzisha mwenyewe anashindwa nini kuwasaliti wana Ubungo. Msaliti wa level ya Profesa ni wa kuogopa kama ukoma
asiyenunulika nani?
 
Kitila ananunulika. Kitila anafika bei. Kama aliweza kusaliti chama alichokianzisha mwenyewe anashindwa nini kuwasaliti wana Ubungo. Msaliti wa level ya Profesa ni wa kuogopa kama ukoma
Msaliti level ys uprofesa hahaha
 
Back
Top Bottom