Elections 2010 Mgombea ubunge CCM anusurika kuuwawa na jambazi aliyetumwa

Machafuko gani????? Mbona tunawaogopa binadamu walioumbwa kwa nyama na damu kama yetu? kwani wao hawawezi kuuwawa?

Unaweza kuwaua kwa upinde wakati wenzio wana AK-47? Usiote ndugu yangu!! "TO EVADE A BLOW IS NOT COWARDICE"
 
dah, yaani unakwenda kumfanyizia
jamaa unabeba na bingo yote uliyopewa
kwa tenda hiyo! mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…