Jimbo la Kawe na Kinondoni yako nyuma sana kimiundombinu.
Barabara za kizamani, hakuna street lights, mifedeji ya majitaka haisafishwi na hata public spaces na transport hakuna.
Kwa Tanzania ni eneo ambalo kwa utajiri wake au wa wakazi wake inapaswa kufanana na Sandton, Joburg, Kensigton London, Beverly Hill, LA, Upper East na West Side, NY au Jumeirah Beach, Dubai na maendeleo yalipaswa kuwa ya mfano Tanzania nzima