Mgombea Ubunge Chadema Jimbo la Bukene atishiwa kutekwa na kunyang'anywa Fomu

October 28 CCM hawachomoi
 
Ndivyo inavyotakiwa.
 
Ni hatari Sana kwa ustawi wa Demokrasia yetu
 
Vitendo vya utekaji vinaendelea na Sasa wapumbavu hao wameingia Kanda ya Pwani
 
mdogo wa kuzaliwa tumbo moja na khamisi kigwangala...,kaka ccm mdogo mtu chadema

pambana lumola mwisho wa siku wote tutalamba mchanga hakuna kinachodumu chini ya jua
Mbona majina hayafanani?
 
Tume igawe Bullet proof vest kwa wagombea wote wa Chadema na ACT
 
Pole sana ndugu yangu Lumola kahumbi, ila usiwaze sana Robert Amsterdam huu mwaka wameshajiapiza kuwa hawatocheka na kima tena.
 
Pole sana Lumola, Usikate tamaa na wala usitishwe Mapambano yanaendelea
 
Vitendo Kama hivi sio vizuri Kama havikemewi kwa nguvu zote, maana vinaikaribisha CIA Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…