Ww huna akili na ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuanza kuilaumu ccm.SiHasa.... mgombea wa mbogamboga siha awe wa kwanza kuhojiwa.....
Kwa hiyo CCM walimtuma mgombea huyo wa CUF amchome mtu kisu na kusababisha utumbo utoke nje?Ili baadaye watu wachukue sheria mkononi na kumuua huyo mgombea?Kuna siku jua litapatwa mtaisingizia CCM kwamba ndio iliyosababisha jua kupatwa.Mbaga Jr ......
Usiwe mpumbavu wa akili....mambo huwa yanatengenezwa ! naongea hivi hicho kisa nakifahamu vyema, na sio kwa kukisoma hapa ! Niishie hapa ! Acha shobo kama mwanamke aliyeibiwa mume !