Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia chama cha ACT, Edward Deogratius Kabika amejitoa kuendelea na mchakato wa kuwania Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa madai ya kukosa sera na kwamba mgombea mwenzake wa CCM Doto Biteko amezungumza mambo yote aliyotaka kuyazungumza.