Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia chama cha ACT, Edward Deogratius Kabika amejitoa kuendelea na mchakato wa kuwania Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa madai ya kukosa sera na kwamba mgombea mwenzake wa CCM Doto Biteko amezungumza mambo yote aliyotaka kuyazungumza.
ACT Wazalendo wamejimaliza wenyewe...Maalim Seif na Zitto wanamuunga mkono TL huku wakiwa na mgombea- Membe...huko Zanzibar Maalim atabwagwa vibaya Sana ...hata asilimia 30 hatapata