CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 14, 2020 #1 #HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la kawe kupitia chama cha wananchi CUF, Mhe. Salmini Kisamo mapema Leo alifika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Kinondoni na kuchukua fomu.
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la kawe kupitia chama cha wananchi CUF, Mhe. Salmini Kisamo mapema Leo alifika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Kinondoni na kuchukua fomu.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 14, 2020 #2 Mh, haya bwana! Kama atapata kura 10 mniite