Mgombea Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia NCCR-Mageuzi, Ugin Mkinga amejitoa kwenye kinyang'anyiro Amesema amefikia uamuzi huo ili aongeze nguvu kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani mambo anayoyataka ndiyo ambayo Rais Dkt. Magufuli JP amekuwa akiyafanya.
Halafu kuna watu wanasema wapinzani waungane. Mtu kachukua fomu juzi, halafu leo anajitoa, ni kipi alikuwa hakijui ndio kakijua leo kuhusu ccm, wakati kampeni za uchaguzi hazina hata wiki 3 kamili?