CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 19, 2020 #1 Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 19, 2020 #2 CUF mtafanya colabo na CCM au mnasimama kivyenu??
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Aug 19, 2020 #3 Mchinga si ndio ameongoza Salma Kikwete kwenye kura za maoni za CCM?
D DadiMkaliWao JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 242 Reaction score 380 Sep 9, 2020 #4 Sesten Zakazaka said: Mchinga si ndio ameongoza Salma Kikwete kwenye kura za maoni za CCM? Click to expand... Ndiyo. Na wamemzindua leo
Sesten Zakazaka said: Mchinga si ndio ameongoza Salma Kikwete kwenye kura za maoni za CCM? Click to expand... Ndiyo. Na wamemzindua leo