G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo hakuna kitengo cha usalama chademaTumepokea taarifa kuwa mgombea wetu huko Mufindi ametekwa, aidha akipigiwa simu zinasikika tu kelele.
Vipi mtangaza vifo vya corona naona sasa umehamia kutangaza kutekwa kwa wagombea fake wa Saccos ya Chadema!! Hata hili nao utashindwa tu kama ulivyoshindwa la kutangaza vifo vya corona.Tumepokea taarifa kuwa mgombea wetu huko Mufindi ametekwa, aidha akipigiwa simu zinasikika tu kelele.
Mkuu wagombea Chadema wanauza Fomu mchana kweupe bila haya ukiwalipa wanasema wameporwa na wasiojulikana . Chadema sijui wafanyaje kuwadhibiti hao wauza FomuAmetekwaje wakati waliambiwa ni marufukukurudisha form ukiwa pekeako au mkiwa wachache? Isije kua kuna wagombea wachache wamepewa hela na kukihujumu chama.
Kauza Fomu huyo
Siku mama yako akitekwa utakuja kufuta huu upuuzi hapa.Maigizo punguzeni bwana.
CCM kweli na siasa zenu za majitaka!CHADEMA naona mnaufanyia kazi huu mpango wa kibeberu kuichafua nchi ili mkishindwa jamaa wainilie kati?
Ninyi watu si wema kabsa kwa familia zetu.
Mnachokitaka kikitokea hakitachagua wana-CCM pekee na familia zao. Tusiokuwa na kwa kukimbilia tutabaki kuitetea nchi huku tukiomba Mungu kama ilivyokuwa kwenye janga la COVID-19.