Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

Huyu G Sam hata kipindi cha corona ndio alikua mtangazaji mkuu hapa JF.

Ana historia ya kutengeneza hofu zisizo na uhalisia yote ni kwa maslahi ya wahuni wachache waliotayari kuuza nchi yetu vema atazamwe kwa jicho la tatu
 
Ila Chadema nao wanazingua lindeni wagombea wenu hizi mbinu zilijulikana zamani mno.
 
Hizo ni sarakasi tu na kama ni kweli itakuwa jamaa kavuta pesa za watu halafu kajikata mapema.

Katambi naye alikuja na hizi porojo za kutekwa na kunyang'anywa form mwaka 2015.
 
Nao Chadema waache ujinga wao, hao chadema ni juhudi gani walizitumia kuwalinda hao wagombea wao, wakati hizo njama za kuwateka wagombea wao zilikua zinajulikana mapema. Kwa nini wasingeweka ulinzi kwa wagombea wao
Wauza fomu hao, walituambia watasindikizana wakati wa kupeleka fomu Sasa wanajificha eti hajulikani alipo? Subirini muda upite utamkuta bar anajipongeza na Mbowe.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Muwe mnaweka na ushahidi namna alivyotekwa! Kama siyo maelekezo kutoka kwa Amsterdam kuwa mtengeneze matukio, basi, muandike kuwa "Ndugu Peter hajulikani halipo" !
Ushahidi ulizia ukara huko ukelewe, mtekaji mmoja wananchi wamemtanguliza mbele ya haki, nawahuni wengine wawili wakakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…