Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

Haya majungu unayoyaleta huku Wala hayamuathiri muhusika kwasabab wapiga Kura wake huku hawapo na hata Kama wakiwepo Ni wale wachache wajuaji wapiga kura wa kwenye keyboard tu.
Majority of his voters will stand with him till to the winning point.
 
Ukiwa unatafuta RHYME ya wimbo, usishangangae hata ukasema unamchukia Magu, ili mdundo wako uende poa. Hata hivyo kazi ya sanaa sio kila neno huwa ni la kweli, muda mwingine ni vionjo vya kuelezea tukio husika.

Hongera sana kwake!
Nilikuwa shabiki mkubwa wa mwana fa, ila baada ya kujua kwamba ni kada la sitaki hata kumsikia. Jamaa yuko vema upstair, najua anafahamu kuliko nijuavyo mimi madhila yaletwayo na hasa awamu hii. Sasa kujifanga hayaoni mimi namuona ni mchumia tumbo tu, kusema hajui maumivu wayapatayo watu awamu hii kwa uelewe wake mimi nakataa.
 
Kama mimi nisivyomkubali jiwe.
 

Uko kama mimi.. amekuwa wa hovyo ghafla
 
Hater's statement
 
”.......Nawachukia kama askari wa jiji, achana na wachimba chumvi wanaoniamsha usingizini wanipe dawa ya usingizi!”

Kuchukia sio kosa, kuchukia kitu ni haki yako... ni hisia hata asiposema hivyo ndivyo anavyojisikia.

Kwahiyo hao ‘wachimba chumvi’ pia awaombe radhi kwa kuwa anatumia chumvi yao!!
 
Kipindi kile nyimbo za kiharakati ndio ilikuwa habari ya mujini
Sugu na yeye alitoa wimbo wa kuwachukia police any way labda hajawaomba radhi ndio maana wanamsumbua hadi leo
 
Ili nalo linaitaji degree kujua jinsi mgambo wajiji walivyokuwa wanatesa Raia wema?
 
Dah DCI Adadi kafyekelewa mbali.
Adadi wakati mwingine alikua anajiona Kama bado yupo polisi akiwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya bunge
Adadi aliwahi kufokea ma RPC jinsi wanavyokamata wauza unga,eti wanawaonea!
 
Vipi huna neno kule jimboni Kawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…