Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

Magufuli tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi.
 
Hii Nchi inahitaji mtu jasiri kama Rais Magufuli.
 
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa sana.
 
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Magufuli wewe kijana unabwabwaja ili iweje?
 
Mgambo mbona ilikuwa in kero kwa kila MTU hasa wafanyabiashara ndogondogo, pia hawakuwepo katika mfumo rasmi wa ulinzi wa nchi na mali za wananchi
Askari wa jiji wapo kwa mujibu wa sheria mkuu na wachache ndio walikuwa kero kwa wananchi kutokana na tabia na mienendo yao michache mibaya na sio mgambo wote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…