Itakua katumia lugha ya mafumbo kama Kiswahili umedandia sio lugha yako lazima hautomuelewa nn alimaanisha ila sio pazia kama la mlangoni kwakoMgombea ubunge katika mkoa wa kilimanjaro ameahidi kuweka bonge la pazia ili watu was nchi jirani wanaopiga pesa kupitia mlima huo waambuie patupu.
Wanapiga pesa ipi? Kuna mtalii anapanda kilimanjaro kutokea Kenya?Mgombea ubunge katika mkoa wa kilimanjaro ameahidi kuweka bonge la pazia ili watu was nchi jirani wanaopiga pesa kupitia mlima huo waambuie patupu.
namkubali sana mbunge huyu na nina uhakika atatupeleka mbali sana sisi kama Watanzania. 2025 ningependa awanie urais. #MATAGA
Mkuu neno makarao lina maana gani?Na hapo wananchi wakashangilia na kushabikia sana na kufurahi, yaani ningekua mkaazi wa hilo jimbo, kura yangu ingekua ya kwake mara moja.....CCM hoyeeee!!! CCM mbele kwa mbele!!!!
Mkuu neno makarao lina maana gani?