Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Sumbawanga kuomba kura za Ubunge kwa kutaja miradi ya Ubungo Interchange, flyover za Dar na ukuta wa Mererani

Kijana miezi mitatu ya kempeni nimefika sumbawanga
Mimi sio mtu wa porojo
Acha hizo propaganda tena una dhambi kubwa kuwasemea watu waliopigika kimaendeleo waonekane wameridhika na hali yao wakati kiuhalisia sivyo!
 
Mkuu mimi nipo field sina haja ya kukudanganya

Sumbawanga is for Magufuli kuanzia vijana hadi wazee
Acha hizo propaganda tena una dhambi kubwa kuwasemea watu waliopigika kimaendeleo waonekane wameridhika na hali yao wakati kiuhalisia sivyo!
 
Mkuu mimi nipo field sina haja ya kukudanganya

Sumbawanga is for Magufuli kuanzia vijana hadi wazee
Alikuja mgombea mwenza wa Green mixer njano, watu walicheza mziki wa Alikiba hafu wakasepa bila kumsikiliza
 
Mgombea anashindwa kuelezea kero za jimbo lake humo kijijini, Anawaelezea raha na fahari ya Dar es Salaam
 
Hao wa Sumbawanga wakitaka kwenda kwao Ubungo ndio njia kuu. Mererani madini yakidhibitiwa fedha zinarudi kwa wananchi kwenye miradi mbali mbali ya kijamii. Hapo hakuna tatizo na jee hayo mambo hayajafanywa?
 
Ni jukumu lake kuelezea utekelezaji wa ilani ya CCM kama mwanachama na mgombea ubunge.
 
Hata wanachama wa CCM wenye shida ya maji na ambao ndo wapiga kura nao wamechoka hoi lakini yalivyo majinga hata yale ya Sumbawanga yatakuwa msitari wa mbele kuwapigia kura wagombea wote waliochoka ili Flyovers Dar ziendelee kujengwa na madege yaendelee kununuliwa kukamilisha Chato kuwa Ulaya.
 
Nipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…