Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Sumbawanga kuomba kura za Ubunge kwa kutaja miradi ya Ubungo Interchange, flyover za Dar na ukuta wa Mererani

Aeshi mbunge alikuwa school mate wangu mazwi alifukuzwa shule hana akili hoja za dar anapeleka swax
 
Dodoma ni makao makuu ya Nchi punguza dharau
Brother Dodoma ni Mjini tu pale tena baada ya Mchanganyiko wa wa wageni wafanyakazi wa Serikali; Ila Dodoma watu wake hawana exposure believe me; Nenda Mpwapwa, Bahi, Kondoa, Mtera, Kongwa, Buigiri, Chamwino Mzee utafahamu wale watu exposure yao ni Ndogo.

Hivyo kuwa Makao makuu ya nchi haiondoi exposure ya wenyeji kuwa ndogo
 
Haya matatizo yanaenda mbali zaidi mpaka kwenye mfumo wetu wa kiuongozi na njia za kupika viongozi wetu. Kuna viji-propaganda vingi tu tena visivyo na kichwa wala miguu eti flyovers, eti madaraja, kwani hatulipi kodi ? kuna duka kwamba serikali inaenda kuchukua pesa za kujengea hospitali ? CCM wajue tunakamuliwa kodi mpka kwenye viosk vyetu huku mitaani. Waache ujinga kabisa. Tena huyo anayetaja ma-flyovers na madaraja angekuwa jimboni kwangu angepata tabu sana kwa matusi ambayo angetukanwa na vijana wetu
 
Na ungempa maelezo ya ziada kwamba kushinda umaskini na umajinuni wa kimaendeleo Dodoma ni lazima kuchanganyikane na wageni na uwekezaji wa sekta binafsi zaidi
 
Sio kweli kuwa mazao mengi toka swanga soko lake lipo dar. Mazao makubwa toka swanga Ni mahindi na maharage na soko lao kubwa Ni nchi ya Kongo ndo Mana mipaka ikifungwa Bei ya mazao yao inaporomoka Kama Sasa ivi.
 
Hakuna kitu bado uko nyuma sana
Safi kabisa Sumbawanga ni CCM. Je sumbawanga imeendelea? Maana vijembe nireteeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiii CCM msipo nireteeeeeeeeeeeaaa msinilaum vimezidi.
Je huko mbona ni CCM tu lkn mbona bila bila??!!!
 
Haya matutusa ya CCM hayana sera hata kidogo; ushindi wao wanatumia mabavu kwa kushirikiana na poliCCM waliolaaniwa na ambao watakufa wakiwa wamechomeka index finger kwenye ass zao!
 
Exactly mkuu,ni kwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…