The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji waliosemekana kutaka kumkamata.