Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Chadema Liberatus Mwang'ombe aendelea na kampeni Mbarali

Kuna mwenzio huko analalamika kua CCM inajaza wanafunzi kwenye kampeni

Naona nyie mmeamua kuchukua mpaka kindergaten

Kila la heri mkuu
 
Kuna mwenzio huko analalamika kua CCM inajaza wanafunzi kwenye kampeni

Naona nyie mmeamua kuchukua mpaka kindergaten

Kila la heri mkuu
Nyuzi zinazokuja nitakuletea kwa urefu kampeni za chadema Mbarali ili uelewe undani wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…