Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti wa CHADEMA Catherine Ruge alalamika kudhalilishwa na Polisi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa baadhi ya sehemu za mwili.

1602661474880.png

CATHERINE ATOA UFAFANUZI WA MADAI YA KUNYANYASWA NA POLISI

Akitoa ufafanuzi kuhusu unyanyasaji aliofanyiwa na Polisi, Catherine Ruge amesema "Jeshi la Polisi limekuwa likininyanyasa kwa kufuata maagizo ya Mkurugenzi na bila kutumia busara.

Akiweka bayana kuhusu matukio aliyofanyiwa na Polisi, Ruge amesema, Mara ya kwanza tarehe 10 mwezi wa 7 nilikuwa narudisha fomu ndani ya chama. Siku hiyo walizuia msafara wangu wakatawanya watu kwa mabomu. Baadaye, walinikamata na kunihoji, nikapewa dhamana na nikawa naenda kuripoti.

Juzi jumatatu tarehe 12 mwezi wa kumi nimefanyiwa kitendo kibaya sana. Tarehe 28 mwezi wa 9 niliugua ikapelekea kulazwa katika hospotali ya inayoitwa DDH nililazwa siku tatu na nikapewa siku tatu za mapumziko. Kwahiyo, sikufanya mkutano kwa muda wa siku sita ikapelekea ratiba yangu kuvurugika. Ikanilazimu kupeleka mabadiliko ya ratiba kupitia kwa katibu wetu wa Chama. Tulipeleka mapendekezo ya mabadiliko ya ratiba tarehe 2 mwezi wa 10 lakini mpaka tarehe 5 tulikuwa hatujapewa majibu.

Tarehe 5 ni siku ambayo tulikuwa tunatakiwa tuendelee na mikutano, nilienda kufanya ule mkutano. Mkutano wangu ulivurugwa na polisi wakatawanya watu. Nikazungumza na OCD na nikamwambia tatizo ni nini. Tatizo hatujapewa majibu ya mabadiliko ya ratiba na OCD alikuwa anajua kuwa mimi ni mgonjwa.

Tarehe 6 tuliendelea kufuatilia ratiba lakini hatukupata majibu, mara Mkurugenzi hayupo mara hiki mara kile. Tarehe 8 Mkurugenzi alisema ataita kikao kwa vyama vya siasa ili kujadiliana haya mabadiliko ya ratiba na katika jimbo letu tumebaki vyama viwili ambavyo ni CHADEMA na CCM.

Alipokwenda kuchukua majibu tarehe 10 Mkurugenzi alisema kuwa Chama cha Mapinduzi hakijaridhika na kile kikao kwa sababu hawakushirikishwa ipasavyo wakati walikuwepo walisaini mahudhurio.

Jumatatu, viongozi wangu wanaohusika wakaenda tena wakamkuta msimamizi msaidizi, wakakaa wakafanya kikao Chama cha Mapinduzi kikasema hakikubali sisi tufanye marekebisho ya katiba, tuendelee kutumia ratiba ya zamani. Viongozi wetu walipoomba majibu ya msimamizi atujibu kwa maandishi akakataa kwahiyo baadae wakatupa taarifa kuwa msimazi msaidizi amekataa kutupa taarifa kwa sababu CCM wamekataa. Lakini sheria zinaeleza kuwa kila mtu ana haki ya kupeleka mabadiliko ya ratiba na msimamizi anapaswa kuitisha kwa haraka kikao kwa ajili ya majadiliano. Hakuna mahali inayosema kwamba chama kimoja kikikataa basi chama kingine kisifanye mikutano.

Tulipoona hivi tukaenda Ofisi za Tume kuomba barua ya maandishi kwa sababu sisi tumepeleka barua mbili na hazijajibiwa. Tulipofika pale tulimwambia msimamizi msaidizi atupe majibu akasea hana mamlaka mpaka tumsubiri Msimamizi. Msimamizi yuko safari na haijulikani atarudi lini. Na sisi siku zinazidi kwenda hatufanyi Mikutano. Tukamuomba atupe majibu kwa maandishi akakataa, sisi tukasema tutaendelea kukaa hapa ofisini. Kilichotokea akaita polisi wakaja kututoa kwa nguvu sisi tukagoma kutoka ikatokea rapsha.

Baadae tukatoka, tukakutana na Difenda tulipigwa na nikachaniwa nguo, risasi za moto zilipigwa. Vipigo vilikuwa sio vya kawaida. Nikaomba PF3 nikanyiwa.

Aidha, Ruge anaeleza kuwa baada ya hapo walipelekwa mahakamani na kusomewa makosa sita. anaweka bayana kwamba siku waliyopata dhamana walipokuwa sehemu ya chakula Polisi walikuja na kuwapiga. Pia, anaeleza kuwa alipokuwa kituoni kuna Askari anaitwa Afande Gerald alimdhalilishwa kwa kumshika makalio na kiuno.

PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

= > Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

= > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
 
Pole sana mama.
Hakika haki ya mtu haipotei, ukiona mateso yanazidi basi neema inakaribia, Mwenyezi Mungu ni Mungu mpenda haki, husaidia wenye haki na huwaadhibu wasopenda haki.
Yana mwisho mdogo wangu, hakuna Mwenye nguvu dunia hii, Mwenye nguvu ni Mwenyezi Mungu pekee!
 
Askari katumia fursa ya kushika cha ndoto yake, ule ni udhalilishaji hapa jeshi likikaa kimya limebariki unyoso ule
 
Chochote kifanyikacho dunia inaona na pia usaidia kutunza ushahidi, siku unasimama pekee yako kizimbani huku unaemtetea hayupo
 
Hivi shangazi yenu alishalipwa kwa kushikwa bega na askari pale kisutu?
 
Pole Dada, lakini ungeendelea na ratiba yako lama ilivyokuws sehemu nyingine wakati unasubiri hayo mabadiliko kulikuwa na tatizo gani ??
 
Askari katumia fursa ya kushika cha ndoto yake, ule ni udhalilishaji hapa jeshi likikaa kimya limebariki unyoso ule
Inawezekana ndivyo walivyofundishwa mimi nawaita magaidi nimelisha lishusha hadhi yake
 
Back
Top Bottom