Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge wa Kigamboni kupitia ACT Wazalendo anapitia mazingira magumu mno kisiasa. Membe kawaangusha sana watu wake

Nasikia Meko anatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!
 
..Lowassa angetikisa zaidi kama angekuwa ana afya nzuri.

..pia nadhani alikuwa anapoteza kura na imani kadiri muda wa kampeni ulivyokuwa ukisonga mbele.
Hili lilipaswa kuwapa somo kama chama; sioni kama kuna kitu mlijifunza.
 
Jasusi mbobevu ni ukiwa ndani ya system, ukiforce kucheza nje ya mfumo lazima unakuwa jasusi mtepetevu
 
Wabongo wanafki sana, si ndio huyu mlisema ni kiboko ya magufi. Mara ooh jasusi mbobezi, mara kasema akiguswa ananuka
Membe atarudi CCM mapema zaidi ya mnavyofikiri. Hawezi mikikimikiki ya “kusumbuliwa” na kuulizwa asset hii na ile pale uliipataje.

Huyu Jasusi amefail vibaya sana na inaonekana hata ACT wenyewe walishagundua huyu ni liability tu
 
Hako kadada ka mwanaisha mndeme ni kapumbavu sana na kajinga kabisa. Huwa kana maneo ya kero twitter usipime, kalijua siasa ni kazi rahisi.
 

Mbona mkutano umehudhuriwa na watoto tu
 
Membe ameshajua kuwa analolitaka haliwezekani ndio maana kaamua atulie amuachie huyo domo bwato aendelee kuwazuga ma zwazwa wenzie wenye ndoto za mchana wapinga maendeleo.
 
Membe atazidiwa kura na hashim rungwe
 
Wabongo wanafki sana, si ndio huyu mlisema ni kiboko ya magufi. Mara ooh jasusi mbobezi, mara kasema akiguswa ananuka
Ndiyo maana mm namuaminia sana Hashimu Rungwe kwa misimamo yake
 
Wewe mjinga sana, Membe kachezewa Danadana na Maalim na Zitto, alafu mutegemee awaunge mkono na awape pesa za kufanyia campaign.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…