Ofcourse!Political prostitute in action.... si vibaya sana maana angeondoka baada ya kushinda uchaguzi ingekua mbaya zaidi!!! NJaa hizi bana zinaumiza kweli, mtu mzima anakua changudoa wa siasa
Nahisi kila mtu ana haki ya kujiunga chama anachokitaka. Tusimlaumu sana. Hivi angekuwa wa CCM ndio kahamia CHADEMA tugekasirika? Muhimu ni kuwa na umakini zaidi katika kuwapata wagombea.
Kwa mjibu wa Chadema JF, huyu jamaa ana akili sana, na ameona mbali.Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa.
Source: Mwananchi,16.09.2010,ukurasa wa 8.
Maoni: Chadema msikurupuke kupata wagombea,kama nina kumbukumbu sahihi huyu ni mtu wa 3 ambaye ana impact kwa chama tangu kampeni zianze.
Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa.
Source: Mwananchi,16.09.2010,ukurasa wa 8.
Maoni: Chadema msikurupuke kupata wagombea,kama nina kumbukumbu sahihi huyu ni mtu wa 3 ambaye ana impact kwa chama tangu kampeni zianze.