Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka.
Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Soma, Pia: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (Bazecha) CHADEMA Taifa 2025
Msingi wa hoja hiyo ya Mwambigija amedai kuwa ni kutekeleza wajibu wake na kubarikiwa na Mungu.
Pia ameahidi atatengeneza mpango mkakati ya kukifanya chama kiheshimike katika kusuluhisha matatizo yanayojitokeza ndani badala ya kwenda kuomba upatanishi nje ya taasisi hiyo.