Labda serikali ya familia yake. Kichanganyikiwa uzeeni ni dalili ya unyafuzi utotoni.Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu
Akihutubia wananchi, Kunje alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ataweka marufuku kali kwa viongozi wote wa dini kujihusisha au kushiriki kwa namna yoyote katika siasa
Kwa mujibu wake, viongozi wa dini wanapaswa kuendelea kuwa sauti ya maadili, mshikamano na mshauri wa kiroho kwa jamii, badala ya kujiingiza kwenye mijadala na michakato ya kisiasa ambayo inaweza kuathiri nafasi yao ya kipekee katika jamii
Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu
Akihutubia wananchi, Kunje alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ataweka marufuku kali kwa viongozi wote wa dini kujihusisha au kushiriki kwa namna yoyote katika siasa
Kwa mujibu wake, viongozi wa dini wanapaswa kuendelea kuwa sauti ya maadili, mshikamano na mshauri wa kiroho kwa jamii, badala ya kujiingiza kwenye mijadala na michakato ya kisiasa ambayo inaweza kuathiri nafasi yao ya kipekee katika jamii
Je vyama matawi ya vingine utavi ruhusu?Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu