Uchaguzi 2020 Mgombea Urais AAFP: Ukikutwa na msokoto mmoja wa bangi hutakamatwa

Duh! kwa uhalalishi huu naona anataka wajuba tuanze kutembea barabarani tukiwa tunafuka moshi.
 
Mgombea huyu wa urais kwa Zanzibar ametoa sera zake na kaweka wazi kabisa ktk serikali yake ukikutwa na bangi 1 hutokamatwa
Hahaha duuh mpaka uchaguzi usidhe tutakua tumeshiba sera za kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…