Mgombea Urais ACT kukosa wakala ni dhihaka ya demokrasia

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.

Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo.

Inavyoonekana jambo hilo limefanywa makusudi.

Katika uchaguzi huu ACT ime-Abuse demokrasia.
 
Hivi unafikiria ni kweli walitaka kushindana na Magufuli? Wanajuafika kwa kasi ya MAENDELEO aliyoyaleta Magufuli hawatatoboa ndio maana wameona wasipoteze muda.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Halafu wanakuja hapa kusema mawakala wamezuiliwa
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.

Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo.

Inavyoonekana jambo hilo limefanywa makusudi.

Katika uchaguzi huu ACT ime-Abuse demokrasia.
 
Vipi kuhusu mawakala wa chadema waligomewa kuapishwa na walioapisha kuzuiliwa kuingia kwenye kituo?
Nimepita vituoni sijasikia rapsha rapsha za wakala au wakili kukataliwa kuingia kituoni.
 
Acha uboya watu wanajadili ishu ya mawakala wewe unasema wakili
Nimepita vituoni sijasikia rapsha rapsha za wakili kukataliwa kuingia kituoni.
IMG_20201030_113405.jpeg
 
Halafu Zitto anatuambia tuandamane
 
Back
Top Bottom