Hivi unafikiria ni kweli walitaka kushindana na Magufuli? Wanajuafika kwa kasi ya MAENDELEO aliyoyaleta Magufuli hawatatoboa ndio maana wameona wasipoteze muda.Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.
Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo.
Inavyoonekana jambo hilo limefanywa makusudi.
Katika uchaguzi huu ACT ime-Abuse demokrasia.
Hovyoooooooo, pumbvuuuuuuuVipi kuhusu mawakala wa chadema waligomewa kuapishwa na walioapisha kuzuiliwa kuingia kwenye kituo?
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.
Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo.
Inavyoonekana jambo hilo limefanywa makusudi.
Katika uchaguzi huu ACT ime-Abuse demokrasia.
Wanaogopa sn maana jiwe ataenda na majiVipi kuhusu mawakala wa chadema waligomewa kuapishwa na walioapisha kuzuiliwa kuingia kwenye kituo?
Nimepita vituoni sijasikia rapsha rapsha za wakili kukataliwa kuingia kituoni.
Matusi hayasaidiiAcha uboya watu wanajadili ishu ya mawakala wewe unasema wakili
View attachment 1616444