Kenya 2022 Mgombea Urais akubali kushindwa, aitaka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki

Kenya 2022 Mgombea Urais akubali kushindwa, aitaka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni David Mwaure Walhiga mgombea Urais wa Kenya akiri kushindwa hata hivyo amewataka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki na hatimaye watangaze mshindi

Source Citizen tv
 
Sio amekubali kushindwa kwani alishindana na nani?
Kura 35,000 nazo ni ushindani?
 
Back
Top Bottom