J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 14, 2022 #1 Ni David Mwaure Walhiga mgombea Urais wa Kenya akiri kushindwa hata hivyo amewataka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki na hatimaye watangaze mshindi Source Citizen tv
Ni David Mwaure Walhiga mgombea Urais wa Kenya akiri kushindwa hata hivyo amewataka IEBC kukamilisha haraka zoezi la uhakiki na hatimaye watangaze mshindi Source Citizen tv
Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Aug 14, 2022 #2 Sio amekubali kushindwa kwani alishindana na nani? Kura 35,000 nazo ni ushindani?