johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi
Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi huyo wa Chadema
Taarifa hii itawachanganya Makamanda wengi wanaoamini Mgombea Urais atakuwa Tundu Lisu
Aidha wako wanaodai Surprise hiyo itakuwa Mh Mchungaji Msigwa atakayerejea Chadema na kupewa Fursa ya kugombea Urais
Credit: Mwananchi
Usiku Mlale Unono 😀