johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lucas anagombea uenyekiti wa Kitongoji huko kwao Chunya πKama vipi wampe Lucas Mwashambwa
Tutashuhudia mengi lakini lazima atoke CCM πUtashangaa mgombea wa CHADEMA ni chura kiziwi.
Anakatwa Chama Cha Mashangazi anakuja CDM
Kivipi? πΌawe na misimamo sasa
Sisi chadema tumeshakubaliana Mgombea wetu ni Mwigulu Nchemba au Diamondi PlatunamuMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi
Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi huyo wa Chadema
Taarifa hii itawachanganya Makamanda wengi wanaoamini Mgombea Urais atakuwa Tundu Lisu
Aidha wako wanaodai Surprise hiyo itakuwa Mh Mchungaji Msigwa atakayerejea Chadema na kupewa Fursa ya kugombea Urais
Credit: Mwananchi
Usiku Mlale Unono π
Kivipi? πΌawe na misimamo sasa
Hakuna lisilowezekana chini ya jua πSisi chadema tumeshakubaliana Mgombea wetu ni Mwigulu Nchemba au Diamondi Platunamu
We mzee wa Kihesa usiku tufanyaje?Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi
Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi huyo wa Chadema
Taarifa hii itawachanganya Makamanda wengi wanaoamini Mgombea Urais atakuwa Tundu Lisu
Aidha wako wanaodai Surprise hiyo itakuwa Mh Mchungaji Msigwa atakayerejea Chadema na kupewa Fursa ya kugombea Urais
Credit: Mwananchi
Usiku Mlale Unono π
Wacha dharau.Tutashuhudia mengi lakini lazima atoke CCM π
Wacha dharau.Tutashuhudia mengi lakini lazima atoke CCM π
Labda ubalozi wa nyumba kumi.Lucas anagombea uenyekiti wa Kitongoji huko kwao Chunya π
SIo kulala unono tu na njozi njema waote huku wanakojoa vichakani wakiamka vitanda wamevijaza mikojo!Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi