Mgombea Urais Kenya aahidi kilimo cha bangi hadi barabarani

Mgombea Urais Kenya aahidi kilimo cha bangi hadi barabarani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Profesa George Wajackoyah , Mgombea Urais wa Kenya kupitia Chama cha Roots , amewaahidi Wakenya kwamba ikiwa atachaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo katika Uchaguzi utakaofanyika August 2022 , ataruhusu bangi kulimwa hadi barabarani ili kuinua uchumi na kutoa ajira ya moja kwa moja na ya haraka kwa vijana

Akitetea hoja yake amedai kwamba , kwa sasa gunia moja la bangi kwenye soko la dunia ni Dola za kimarekani mil 3 , ambayo ni sawa na Shilingi za Kenya mil 352 , au sh bil 6.9 za Tanzania , wakati gunia moja la Maharage ni sh za Kenya elfu 6 au ni 116, 000 kwa hela za Tanzania .

Toa maoni yako
 
Back
Top Bottom