Sio rahisi hivyo Kama ulivyoandika bossHahaha hawa ni washereheshaji wanafahamika.
Hawa ndio hufuata mdundiko hata hawajui sherehe iko wapi. Wakisikia ngoma wanaanza kucheza.
Kidhungu wanaita First Gentleman au First Spouse.Tuwekee na picha basi ya Her Excellency Madam President Queen Sendiga.
Hivi ikitokea akashinda, Mume wake ataitwa jina gani vile? First Man au First Gentleman!! Hiki kidhungu hiki!! We acha tu.
Naona anapitia njia ile ile ya mtangulizi wake Mh. Anna Mghwira (RC Kilimanjaro)
Washereheshaji hao, kesho asubuhi utawaona wako Diamond Jubilee wakipongeza.
labda ashinde njaaHuyu hashindi, akishinda yeye mwenyewe hatayaamini wala kuyakubali matokeo
Huyu mrembo ana akili kasoro chama chake cha kisoro tu.Mgombea Urais kupitia chama cha ADC , Bi Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura yake katika shule ya Ununio, jimbo la Kawe ,wilaya ya Kinondoni asubuhi mapema
Ni mwanamke bora kuliko yule mama yenu[emoji28]Hongera sana Queen. Mwanamke shupavu, Akili nyingi, kampeni za kistaarabu, chama chako tuu ndio kilikua hakijajipanga kushika dola
Nadhani hutapotea kwenye medani za siasa[emoji95][emoji106]
Hongera Queen Sendiga kuteuliwa RC.Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura katika Kituo cha Ununio jijini Dar es Salaam ambapo amesema amejiandaa kwa namna yeyote.
Amesema, "Nikishinda nitashukuru kwasababu nitapata ile fursa kubwa ambayo nimekuwa na hamu ya kuipata ili niweze kuwatumikia Watanzania. Lakini pia kama kura hazikutosha bado haiwezi kunipa sababu ya kutokuwatumikia Watanzania"