Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ameielezea JamiiForums masikitiko yake akidai vituo viwili vikubwa vya habari nchini vilikataa kwenda kwenye mkutano wake wa kampeni kwa sababu Waziri Mkuu alikuwa na Mkutano katika mkoa huo huo.
Anadai walimueleza kuwa wanashindwa kujigawa na kwenda kwa Waziri Mkuu aliyekuwa eneo la mjini zaidi.
“Nawashangaa sana wananiacha Mgombea Urais ambaye nikiwa Rais nitateua Waziri Mkuu wanaenda kwa Waziri Mkuu!”