beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Aug 25, 2020 #1 Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 25, 2020 #2 Hawa ni CCM tunataka ACT na Chadema
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 519 Aug 25, 2020 #3 Babati said: Hawa ni CCM tunataka ACT na Chadema Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji1787]
Rogart Ngaillo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 908 Reaction score 1,911 Aug 25, 2020 #4 Yaani "Chama cha Demokrasia Makini" CHADEMA??😂😂 Ah ah..huyo sio mgombea wetu ! #NiYeye✌
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Aug 25, 2020 #5 Kumbe Kuna Chadema B???